Technology

TECNO CAMON 19 Pro 5G yazinduliwa, fahamu sifa zake 

TECNO leo Julai 6, 2022 wamezindua simu mpya CAMON19Series yenye uwezo wa hali ya juu, ikiwa na Bezel nyembamba ya 0.98mm inayozunguka “screen” ya simu. #CAMON19Series ina uwezo wa kupiga picha zenye ubora wa hali ya juu hasa nyakati za usiku, 64MP Bright Night Potrait ikiwa na teknolojia mpya ya RGBW, yenye kunasa rangi kwa uhalisia zaidi! PRE-ORDER kutoka katika tovuti ya INALIPA https://www.inalipa.co.tz/stores/tecno na ujipatie

CAMON19Series sasa inapatikana kwenye maduka yote ya @tecnomobiletanzania Tembelea: https://www.inalipa.co.tz/stores/tecno
Kwa maelezo zaidi piga 0744 545 254 au 0678 035 208

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents