HabariTechnology
TECNO na ujio wa ‘Magic Skin’ teknoloji

Kwa mara ya kwanza katika historia ya teknolojia TECNO inatambulisha “Magic Skin” kwenye ufuniko wa nyuma wa simu, yenye faida kwenye usafishaji kwa urahisi, isiyoruhusu mikwaruzo na instahimili hali ya hewa yeyote na ubora uliotukuka @tecnomobiletanzania, Bofya video kuona then uta attach video kupitia link ya youtube
Video Bofya HAPA