Terms wa Nigeria uso kwa uso na Rihanna, amkumbatia kwa furaha kubwa (+ Video)

Msanii wa kike kutoka nchini Nigeria ambaye ana miaka miwili tu kwenye game @temsbaby usiku wa kuamkia leo amekutana na RIRI @badgalriri nchini Marekani.

@temsbaby ambaye tupo kwenye album ya #Drake CBL amekuwa na upepo mzuri sana tangu afunguliwe dunia na @wizkidayo kupitia ngoma ya #Essence

Related Articles

Back to top button