Tetesi za uhusiano kati ya Rihanna na Benzema zazidi kukua, waonekana tena pamoja

Mambo yanazidi kupamba moto kati ya Rihanna na mchezaji wa soka wa klabu ya Real Madrid, Karim Benzema.

moja

Wawili hao wameonekana wakila bata pamoja kwenye klabu ya Hollywood usiku wa Jumatatu.

mbili

Kwa mujibu wa TMZ wawili hao walionekana wakitoka kwenye kiota cha Henry’s na ingawa kila mmoja alitoka kivyake, ilikuwa wazi kuwa walikuwa pamoja.

tatu

Hiyo sio mara ya kwanza wawili hao kukutana katika maeneo ya starehe.

nne

Related Articles

Back to top button