Michezo
TFF, body ya Ligi zapigwa maswali mazito

Leo ikiwa ni mkutano baina ya Waandishi wa Habari na Wazee wa Yanga kwa Mkoa wa Dar es Salaam, mmoja wa wanachama amejitokeza na kuuliza maswali mazito kwa Bodi ya Ligi pamoja na TFF.
Je unampa alama ngapi Mwanadada huyu kwa maswali haya??
Kuangalia video kamili tembelea ukurasa wetu wa YouTube Bongo5
Imeandikwa na kuandaliwa @Johnbosco_mbanga