HabariMichezo

Thank You inaandaliwa kwa Bocco.?

Klabu ya Simba imeanza mipango ya kuachana na baadhi ya nyota wake katika dirisha hili dogo na kubwa lijalo kwa lengo la kusuka kikosi chao upya.

Bocco ni miongoni mwa wachezaji wanaodaiwa huwenda wakaachwa na Simba baada ya kutokuwa kwenye mipango ya mwalimu.

Inadaiwa Simba inajiandaa kutemana na wachezaji wake watano kwenye dirisha dogo la usajili na baadhi wakitarajiwa kuachana nao kwenye dirisha kubwa la usajili baada ya kumalizika kwa msimu huu wakati ambao mikataba yao itakuwa imefikia tamati.

Tetesi zilizopo ni kuwa Nahodha huyo amemalizana na Uongozi na huwenda akaondoka dirisha dogo linalotegemewa kuanza Disemba 16,2023.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents