Michezo

Thank You Ramovic

Kikosi cha Yanga kilikiwa mazoezini leo jioni kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya KenGold utakaochezwa leo Uwanja wa KMC Complex, ambapo Ramovic aliwashtua wachezaji akiwaaga rasmi kwamba baada ya mchezo huo hataendelea kuwa kocha wa timu hiyo hatua ambayo iliwachanganya wengi.

Taarifa zandani zinaeleza Kocha Ramovic anatimkia Algeria kujiunga na klabu ya CR Belouizdad.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents