The Return Of Champion – Haji Manara atangaza kiama kwa Rivers United

Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Manara amesema kuwa wanakwenda kuchukua ushindi mbele ya Rivers United FC kutoka Nigeria katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika utakaopigwa Jumapili hii ya tarehe 12/9/2021 kwenye uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam.

Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya Yanga, Manara ametaja slogan wanayokwenda nayo kwenye mchezo huo ni ‘The Return Of Champion’.

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button