Michezo

Thiago Alcantara atundika Dalunga

Aliyekuwa kiungo wa Barcelona Bayern Munich na Liverpool na Timu ya Taifa Hispania Thiago Alcantara ameamua kustaafu soka la kulipwa akiwa na umri wa miaka 33.

Thiago ambaye mkataba wake na Liverpool ulitamatika mwishoni mwa msimu uliopita alianza maisha yake ya soka kwenye shule ya kukuza vipaji vya Barcelona almaarufu la Masia na kupandishwa kwenye timu ya wakubwa mnamo Julai 1,2011.

 

Mnamo Julai 14, 2013 alijiunga na Bayern Munich ya Ujerumani na kudumu kwa miaka 7 kabla ya kutumikia Liverpool mnamo September 18, 2020.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents