Picha

Throwback Thursday: Siku Flaviana Matata alipovishwa taji la Miss Universe Tanzania

Flaviana Matata alivikwa taji la shindano la kwanza la Miss Universe Tanzania mwaka 2007 na kuiwakilisha Tanzania kwenye Miss Universe.

DSC04166

Hii ni picha inayomuoneshwa akivishwa taji la mkurugenzi wa shindano hili nchini Maria Sarungi Tsehai.

Kwa sasa Flaviana ni mwanamitindo wa kimataifa ambaye hushiriki fashion show kubwa duniani, matangazo na pia ameshaandikwa kwenye majarida kama Dazed & Confused, Glass Magazine, L’officiel, ID Magazine, Marie Claire na mengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents