Uncategorized
Tiffah akesha usiku kucha akilia kutaka kurudi Tanzania kwa Baba yake (Video)
Kama unavyojua siku ya jana @zarithebosslady aliondoka Tanzania akiwa na watoto wake wawili @princess_tiffah na @princenillan ambao walikuja kumsalimia Baba yao.
Zari amepost video akionyesha jinsi Tiffah anavyomlilia baba yake muda mfupi baada ya kufika nchini kwao.