HabariTechnology

Tiwa Savage alamba ubalozi TECNO kupitia simu mpya ya TECNO CAMON 20Pro

Kampuni ya Simu ya @tecnomobiletanzania Siku ya leo imezindua Rasmi Simu ya #TECNOCAMON20Pro na kumtambulisha Balozi wa Simu hiyo ambae ni Staa wa Muziki kutoka Nchini Nigeria @tiwasavage .

Akizungumza na Waandishi wa Habari Msimamizi wa Masoko wa @tecnomobiletanzania , binti_shafi Amewatoa hofu Watumiaji wa Simu na kuwahakikishia Ubora wa Simu hiyo ya #TecnoCamon20Pro

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents