MuzikiVideos

Tommy Flavour aachia video mbili kwa wakati mmoja, #LayDown na #Kidogo (+ Video)

BRAND NEW VIDEO: Staa wa muziki wa Bongo Fleva kutoka lebo ya #KingsMusic #TommyFlavour ameachia video mbili za ngoma zake asumbuhi ya leo.

Siku ya jana alitangaz akupitia mitandao yake ya kijamii kuwa video hizo zitatoka saa tano asubuhi na ilipofika muda huo ngoma hizo zilitoka.

Video ambazo ni Tommy Flavour ameziachia ni  #LayDown na #Kidogo. Tayari zipo kwenye akaunti yake ya YouTube.

Nakuwekea link hapa chini kuzitazama.

Related Articles

Back to top button