Mahojiano

Tommy Flavour: Alichofanya Alikiba ‘Midiocre’ wengi hawakutegemea, ndio mana anaitwa king wa Bongo Fleva (+Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyopo kwenye lebo ya @kingsmusicrecords inayosimamiwa na @officialalikiba @tommyflavour amezungumzia kuhusu EP yake ambayo anatarajia kuiachia siku zijazo.

Mbali na hilo @tommyflavour amezungumzia ngoma yake mpya ya THE ONE na kuwaomba mashabiki kuendelea kusapoti muziki wake na wasanii wote wa Bongo Fleva.

Tommy pia amemshukuru msanii kutoka lebo ya #WCB @officialzuchu na kuthibisha kuwa yeye ni shabiki namba moja wa muziki wa @officialzuchu huku akiitaja ngoma ya #Wana kama ngoma yake bora kutoka kwa msanii huyo.

“Wimbo wa @officialalikiba #Midiocre ni mkubwa sana kwanza nilishangaa kuona @officialalikiba amebadilika hivyo na hivyo mi nimependa kuona anabadilikabadilika”

https://www.youtube.com/watch?v=OYZE_3iYCjg

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents