Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMuziki

Tommy Flavour x Tanasha Donna ngoma kesho #Numero Uno

Kesho ndio siku iliyotangazwa na mkali wa RnB kutoka lebo ya @kingsmusicrecords @tommyflavour kuwa ataachia ngoma yake ya #NUMERO UNO aliyomshirikisha msanii kutoka nchini Kenya @tanashadonna

Hapa walikuwa studio wakiwa na #Yogo wakati wanaipika.

Dondosha comment yako hapa chini kwamba unategemea ngoma ya aina gani kwa unavyowafahamu wasanii hawa.

Related Articles

Back to top button