Michezo

TP Mazembe washinda kombe la Super Cup

Timu ya TP Mazembe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeshinda kombe la Super Cup kwa mara ya tatu kwa kuifunga Etoile du Sahel ya Tunisia.

t1larg.mazembe.gi

Mazembe walipata ushindi wa 2-1 kwenye mechi hiyo iliyochezewa mjini Lubumbashi Jumamosi, mabao mawili yalifungwa na mshambuliaji wao kutoka Ghana Daniel Nii Adjei mwenye miaka 27 Adjei alifunga goli la kwanza dakika ya 20 na la pili dakika ya 45.Sahel walipa bao moja dakika za mwisho kupitia Mohamed Msekni.

Kombe hilo linalokutanisha mshindi wa Ligi ya Klabu Bingwa barani Afrika na mshindi wa Kombe la Mashirikisho.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents