Technology

TRCA waeleza sababu za data kuisha haraka

Siku ya leo kupitia mitandao ya kijamii ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA imezitaja sababu za data kuisha haraka kuwa ni kuongezeka kwa speed ya Mitandao na uwezo wa Smartphone na kuongezeka kwa ukubwa wa App nyingi zinazotumika kuwa na update za mara kwa mara na kuongezeka kwa quality ya picha na video ambazo zinaongeza ukubwa.

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents