FahamuHabari

Trump amjibu Biden, baada ya kufananishwa na Takataka (Video)

Baada ya Rais wa Marekani Joe Biden kuwafananisha wafuasi wa Biden na Garbage (Taka) Donald Trump ameamua kumjibu kwa kufanya hiki.

Trump aliona jibu zuri kwa Biden ni yeye kuendesha gari la Taka na kuvaa Reflective Vest mpaka Jukwaani wakati anaenda kuhutubia kwenye Jimbo la Wisconsin.

Kibongo bongo Trump unamfananisha na Kiongozi gani 😂

 

 

https://www.instagram.com/bongofive/reel/DBx-W3IqD47/

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents