Habari
Trump aonekana kwa mara ya kwanza baada ya kunusurika kifo (Video)

Rais wa Zamani wa Marekani ambaye yupo kwenye kampeni za kutaka kurudi madarakani tena Dolnad Trump ameonekana hadharani tena kwenye jamaa baada ya kunusurika kifo.
Trump ameonekana akiwa amefunga bandeji sikio lake la kulia baada ya kupigwa risasi siku ya Jumamosi.