Tukio la wasanii wa Nigeria Tiwa Savage na Seyi Shay walivyotaka kuzichapa saloon (+ Video)

Waimbaji wa Nigeria, Tiwa Savage na Seyi Shay kidogo wazichape jana baada ya beef (ugomvi) lao la muda mrefu kuibuka tena na kurushiana maneno mazito.

Inaelezwa kuwa Tiwa Savage alikuwa Saloon maeneo ya Lekki kwa ajili ya maandalizi yake ya session ndipo akakatiza msanii mwenzie Shay na kisha kumsalimia kitendo ambacho hakikumfurahisha Tiwa ndipo taharuki ikazuka.

African Bad Girl, alitoa onyo kali kwa Seyi Shay kwamba kamwe hapaswi kumvizia kwa kujidai kwamba anataka kupatanishwa, na kumkumbusha matukio kibao ambayo yalitokea kipindi cha nyuma ya kumchafua lakini Shay alijaribu kujitetea kwamba hawezi kuzungumza juu ya kitu cha faragha katika Umma na kwamba yeye sio mdogo na hana nia ya kujisajisha kwa Tiwa.

Ukisikia kwa mbali Tiwa Savage anamwambia Shei Shey Open It kwamba afungue Interview aliyomuongolea vibaya na kumwambai ukiwa mbali na mimi unaniongelea vibaya leo umeniona hapa unajifanya kuja kunisalimia.

Wasikilize mpaka mwisho.

Bofya hapa chini kutazama.

 

https://www.instagram.com/p/CP5KykQBYZj/

Related Articles

Back to top button