Habari
Tumejifunza kwa kilichotokea – Nabi

“Timu yetu ina wachezaji wadogo ambao hawakuwa tayari kukutana na ugumu wa namna ile. Ukiangalia unaona namna ambavyo Yanga ilipokuwa haina mpira iliweka presha kubwa kwetu na vijana kujikuta wanafanya makosa makubwa. Kuna mabao ambayo mliyaona ni kama yalikuwa zawadi kwao, lakini nadhani tumejifunza kilichotokea kwetu,” Nasreddine Nabi, kocha wa Kaizer Chiefs.
