Tumejipanga kuondoka na ushindi dhidi ya Al Ahly- Matola (+Video)

”Sio mechi rahisi, ni mechi ngumu ukichukulia kwamba tulipata matokeo kwenye mechi iliyopita, na ukiangalia hii ni Ligi ya Mabingwa hakuna mtu mrahisi hivyo ni mechi ngumu, lakini tumejipanga kuhakikisha tunapata matokeo kwenye mchezo wetu wa nyumbani,”- Kocha Selemani Matola

Related Articles

Back to top button
Close