Tunda Man awataka wasanii kuwa na tabia ya kusaidiana ‘Sio mpaka msanii afike BET ndio tuanze kuombana’ (Video)

Msanii wa muziki @tundamantz amefunguka kuzungumzia suala la ushirikiano kwa wasanii baada ya hivi karibuni watu kuanzisha kampeni ya kum-suport Diamond ambaye ametajwa kwenye tuzo za BET akishindana akina WizKid pamoja na Burna Boy.

Msanii huyo ambaye ameachia wimbo mpya ‘True Love’ na umepokewa kwa kishindo, amesema wasanii wanatakiwa kuwa na tamaduni za kusaidiana kwenye mambo madogo madogo na sio mpaka msanii afike kwenye level kubwa ambayo ni wasanii wachache wana uwezo wa kufika huko.

Kuangalia full interview tembelea tembelea Youtube ya Bongo5

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button