Bongo5 ExclusivesBurudaniHabariMahojiano

Tundaman: Manara afungiwe tu mdomo umezidi sana

Staa wa Bongo Fleva na mkali wa ngoma ya Badman @tundamantz ametoa mtazamo wake wakati akifanya mahojiano na @el_mando_tz baada ya kuulizwa akiwa kama mdau wa soka nchini.

Kufungiwa kwa msemaji wa Yanga @hajismanara kunaleta effect yoyote kwenye soka hapa nchini??

Baada ya kuulizwa na @el_mando_tz Jibu la Tunda: mi naona afungiwe tu mdomo umezidi..

Kwako wewe mtazamo wako kama Tundaman au una mtazamo tofauti?? Na kwanini??

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents