
Siku ya leo Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa BASATA Dkt. Kedmon Mapana @kmapana pamoja na kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania wamezungumza na waandishi wa habari kubwa zaidi ni kuhusu Tuzo za Muziki wa Tanzania ambapo kwa mwaka huu zitafanyika kwa namna ya tofauti huku zikirushwa kupitia MTV NA BET kama Highligts