Habari
Twende Butiama kumuenzi Hayati Nyerere yapamba moto
Katika kuenzi miaka 25 ya kumbukizi ya baba wa Taifa Mwl. Julias Kambarage Nyerere Vodacom kushirikiana na wadau wengine wameendelea na kampeni ya TWENDE BUTIAMA ambayo inahusisha waendesha basikeli kuanzia Dar es salaam mpaka Butiama.
video-output-8544949A-70BC-4F73-BE4E-2646F1D5F4F0
Waendesha basikeli watakuwa zaidi ya 100 ambao watatoka Dar es salaam mpaka Butiama ukiachana na wale ambao wataishia njiani na kufanya idadi ifike zaidi ya waendesha baisekeli 200