Burudani

Tyson Fury ataka kuwa Chifu

Bondia maarufu kutoka nchini Uingereza Tyson Fury ameweka wadi kuwa anajiandaa kupata mtoto wa nane na mkewe Paris Fury.

Fury ameweka wazi hilo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kuposti picha ya mkewe huku akimwaga sifa kudai kuwa licha ya mkewe kuzaa nae watoto saba lakini bado mke wake bado ni mrembo.

Hata hivyo bondia huyo wa ngumi za kulipwa amesema kuwa yeye na mkewe hawatoishia watoto hao kwani wanampango wa kuwa na familia ya watoto kumi.

Fury na Paris wamekuwa katika ndoa kwa kipindi cha miaka 15 ambapo mpaka kufikia sasa wamepata watoto saba.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents