Michezo

Ubingwa una raha yake ona bata la wachezaji wa Man City

Baada ya kufanikiwa kuweka rekodi ya kushinda Ubingwa wa Epl kwa misimu minne mfululizo, wachezaji wa klabu ya Manchester City walipewa ruhusu ya kwenda club kula bata.

Baada ya bata usiku huko Manchester walidakwa na mapaparazi wakitoka Club wakiwa Tungi wamekula vitu Wazee wa Tungi.


Kwenye picha wanaonekana.

1. Halaand
2. Jack Grelish
3. Rodi
4. KDB

Ikumbukwe Manchester City bado hawajamaliza shughuli yao Jumamosi hii ya tarehe 25 wanachezaji na Majirani zao Manchester United kwenye fainali ya FA.

Hii ni mara ya pili mfululizo kukutana kwenye fainali ya FA baada ya msimu uliopita Man City kushinda FA mbele ya United.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Imeandikwa na Mbanga B.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents