Burudani

Ubuyu ya Alikiba yashushwa Youtube

Wimbo mpya wa Alikiba UBUYU umeondolewa kwenye akaunti yake ya Youtube na msanii kutoka Congo anayeitwa ‘SAPOLOGUANO ODENUMZ‘

Kwenye akaunti ya Alikiba inaonyesha kuwa SAPOLOGUANO ODENUMZ ametoa malalamiko yake kwamba UBUYU ya Alikiba inafanana na wimbo wake NISHAKUPENDA akiwa amemshirikisha Aslay.

NISHAKUPENDA ya SAPOLOGUANO ODENUMZ na ASLAY inaonyesha imetoka Mwezi mmoja ukiopita hivyo baada ya malalamiko hayo Video ya Alikiba UBUYU imeshushwa kwenye Akaunti yake ya Youtube.

Tunaendelea kufanya mawasiliano na Uongozi wa Alikiba kujua nini kinafuata baada ya haya kutokea.

Usikilize Wimbo wa SAPOLOGUANO ODENUMZ na ASLAY hakafu pia UBUYU ya Alikiba tuambie umegundua nini.

Swipe kuona Ujumbe wa Youtube.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents