Michezo

Uchambuzi: Al-Merreikh Vs Simba SC, kipi mnyama afanye kuondoka na pointi 3 (+Video)

Mambo ambayo Mnyama Simba SC atatakiwa kuhakikisha anakuwa nayo ndani ya kikosi ili kuondoka na pointi tatu muhimu mbele ya Wasudan klabu ya Al-Merrikh Sporting Club ambayo tayari imepoteza michezo yake yote miwili ya kwanza ya CAF Champions League mbele ya AS Vita Club wakiwa kwao nyumbani na hata ugenini dhidi ya AL Ahly.

Licha ya Simba kuwafunga AS Vita Club DR Congo na Al Ahly kwa Mkapa inatarajiwa kukutana na upinzani mkali ndani na nje ya uwanja kutoka kwa Al-Merrikh Sporting Club aliyejeruhiwa mara mbili kunako Michuano hiyo na hivyo akiwa Uwanja wa nyumbani huwenda kamwe hatokubalia apate aibu kwa mara nyingine ya kupoteza na hiyo kwao ni mechi ya jasho na damu, Abbas Pira anaamini ili Mnyama kuibuka na ushindi ni lazima kuhakikisha wanakuwa imara kila idara.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents