BurudaniHabari

Uchambuzi: Aliyekuwa anastahili kushinda tuzo ya Grammy Afrika huyu hapa

Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz amezungumzia Tuzo kubwa zaidi duniani za Grammy zilizofanyika usiku wa kuamkia leo Marekani.

@el_mando_tz amezungumzia namna Wanigeria walivyoandamana mitandaoni kisa wasanii wao kukosa tuzo hiyo ambapo Tyla wa Afrika Kusini ndio ameshinda.

Ameongeza kuwa Wanigeria ni Wabaguzi sana hawataki kuona msanii mwingine kutoka nje ya Nigeria anafanikiwa zaidi ya wasanii wao.

Wanadai wanataka kuzisusia tuzo hizo.

@el_mando_tz amechambua kwa Takwimu na kuonyesha nani alistahili kushinda Tuzo hiyo ya Grammy kati ya Burna Noy, Davido, Asake na Tyla.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents