Burudani
Uchambuzi wa Album ya Marioo The Godson Kimataifa njia nyeupe
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia album ya Marioo THE GODSON iliyotoka siku ya jana.
Ameizungumzia namna Marioo alivyojitahidi kwenye professionalism na inaonyesha namna Marioo uupo serious na Project yake.
Anasema kuwa katika maandalizi hata Production Marioo amejitahidi kwa asilimia 70 kilichobaki ni kufanya Promo tu.
Ameshauri kuwa Promo pekee kubwa Marioo anatakiwa kuifanya ni Kuandaa Tour ya ndani ya Tanzania na hata nje ya Tanzania.
Unakubaliana na @el_mando_tz kwa asilimia ngapi!??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive
Cameraman & Editor @samirkakaa