Uchebe: Natengeneza gari za Diamond ila Rolly Royce siiwezi labda nizibe pancha tu (+ Video)

Uchebe ameongeza kuwa huwa anatafutwa na watu kutoka nje ya nchi lakini kutokana na level yake ya elimu na kuwa hana cheti ya kutengneza magari kwa maana kwamba hajasomea huwa anapata tabu sana”

Swali la kwamba mfano Shilole akaleta gari lake pale je anaweza kulitengeneza Uchebe amekataa na kusema hawezi kumtengnezea Shilole gari.

Related Articles

Back to top button