HabariSiasa

Ufafanuzi wa maneno TRAB na TRAT yaliyotajwa Bungeni yana maanisha nini

Mwanasheria Fulgence Massawe ambaye ni Mwanasheria aa LHRC akitolea ufafanuzi maneno mawili yaliyoyolewa jana Bungeni na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. @mwigulunchemba baada ya kuonekana mageni masikioni mwa watu.

Watu wengi walihisi Mhe Waziri amekosea kuyatamka na kuyatumia yale maneno kumbe. Laaah Mhe Waziri alikuwa sahihi kabisa na maneno yale ndivyo yanavyotamkwa.

-#- TRAB kirefu chake ni TAX REVENUE APPEALS BOARD.

-#- TRAT kirefu chake ni TAX REVENUE APPEALS TRIBUNAL.

Msikilize Mwanasheria akitolea ufafanuzi maneno haya na namna yanavyofanya kazi.

Related Articles

Back to top button