Burudani
Ugomvi wa Babalevo na Ibraah chanzo ni Diamond?nani mwenye makosa
Kupitia kwenye kipindi chake cha RECAP & MANDO @el_mando_tz ameizungumzia bifu mpya lililoibuka siku za hivi karibuni kati ya Baba levo na Ibraah ambapo wanarushiana maneno mitandaoni.
Anasema kuwa kwa uchunguzi wake alioufanya amegundua kuwa chanzo cha ugomvi huo ni kauli alizozitoa Ibraah kuhusu Diamond.
Anasema baada ya kuwasikiliza wote wawili unahisi nani mwenye makosa kati ya Ibraah na Baba levo??
Uchambuzi mzima upo katika akaunti yetu ya Youtube ya Bongofive
Cameraman and editor @samirkakaa