Bongo5 ExclusivesBongo5 MakalaBurudaniHabari

Babalevo na Mwijaku usiwaingilie utaaibika

@officialbabalevo na @mwijaku ni watu ambao wamekitanabaisha kuwa wao ni machawa kwa wasanii wakubwa.

@officialbabalevo ni chawa wa @diamondplatnumz lakini @mwijaku yupo upande wa @officialalikiba na @harmonize_tz kwa upande wa ushabiki lakini kwenye maslahi @mwijaku anapiga pande zote yaani kwa @diamondplatnumz @harmonize_tz na @officialalikiba kitu ambacho @officialbabalevo ameshindwa.

@officialbabalevo na @mwijaku wanaonekana wapinzani mitandaoni lakini kwenye maisha ya kawaida ni marafiki sanaaa.

Na ndio maana baadhi ya madili wanapiga wote yaani mmoja akipanta dili anamuunganishia na mwenzake na huo ndio urafiki.

Tatizo linakuja pale wanapotengeneza mindset kwa watu kuwa wao wana ugomvi kumbe laaaaj lengo lao kutengeneza attention ili waendelee kuzungumziwa na watu.

Kitu ambacho @officialbabalevo ameshindwa ni kuwa karibu na @officialalikiba na @harmonize_tz kwa sababu yeye hawezi ku fake maisha lakini pia @officialalikiba na @harmonize_tz wapo real hawaangalii maslahi wanaanhalia hisia zao ila @diamondplatnumz anaangalia maslahi zaidi na ndio mana @mwijaku anamponda lakini @diamondplatnumz hana noma kw akuwa ameona @mwijaku ana push baadhi ya mambo yake.

Lakini pia tofauti ya @mwijaku na @officialbabalevo ni moja @mwijaku anaangalia zaidi maslahi na sio hisia lakini pia ana ujanjajanja mwingi sana ana fake vitu vingi, ushawahi kuwaza siku akionana na @diamondplatnumz halafu kesho akaenda kuonana na @harmonize_tz au @officialalikiba huwa anawaeleza nini 😂😂😂

@officialbabalevo anangalia maslahi lakini zaidi hisia zake na ndio manaa ameshindwa kuwavuta @officialalikiba na @harmonize_tz

Juzi wametoka kurushiana maneno mtandaoni lakini jana wameonekana wote wakipata dili jipya la kutangaza mgahawa.

KONGOLE KWAO kwa kuitumia nafasi ya umaarufu wao vizuri 👏👏👏

Wahenga wanasema nafasi haziji mara mbili, kama umepata nafasi basi itumie kweli.

Video nzima ipo YouTube. Written and edited by @el_mando_tz

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents