Ujenzi daraja la Wami na barabara zake wafikia asilimia 70.4 – Msigwa

Kupitia ukurasa wa Instagram ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ameandika ujumbe huu:- Ujenzi daraja la Wami na barabara zake wafikia asilimia 70.4
:
Dondoo
1. Lina urefu wa meta 510
2. Gharama ya ujenzi ni Bilioni 67.777
3. Litakamilika tarehe 21 Novemba, 2022.

Kudos TANROADS.

Related Articles

Back to top button