Burudani

Ujumbe wa Wema Sepetu wazua gumzo mitandaoni, Kupigwa na Baby wako kuna raha yake

Manneo hayo ya staa wa filamu Bongo Wema Sepetu ameyaongea kwenye moja ya video aliyopost kwenye Instagram yake ambaye anasema mtu kupigwa na baby wake kuna raha yake hasa pale mnapoanza kubembelezana.

Wema Sepetu ameshea hilo kupitia Instagram yake baada ya kuandika ujumbe ufuatao,

Kupigwa na baby wako kuna raha yake, haswa pale kwenye kubembelezana, ila sasa sio tupigane kama wezi kidogo tu sio mbaya halafu iwe mara moja moja sio daily

Sio lazima wote tufanane kuna wasio penda kupigwa ila as for me, kushtuashtua one time one time is very healthy jamani” ameongeza.

Baada ya ujumbe huo watu wengi wameupinga ujumbe huo akiwemo Mange Kimambi akiongea haya.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents