HabariMichezo

Ulimboka Mwakingwe afungiwa maisha

Mwenyekiti wa Klabu ya Kitayose FC, Yusuph Kitumbo na Kocha Mkuu wa timu hiyo, Ulimboka Mwakingwe wamefungiwa maisha kujihusisha na mpira wa miguu.

Kwa mujibu wa Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeeleza kuwa wanafamilia hao wawili wametiwa hatiani kwa kosa la upangaji matokeo.

Kitumbo na Mwakingwe walijihusisha na upangaji matokeo katika mechi za Ligi ya Championship kati ya Fountain Gate FC na Kitayosce FC iliyochezwa Aprili 29 mwaka huu mjini Gairo, Morogoro.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents