UN yasikitishwa na mashambulizi ya Israel

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres amesema ameshangazwa na mashambulizi yanayoendelea Gaza dhidi ya raia na kusikitishwa na kushambuliwa kwa jengo moja lililokuwa na ofisi kadhaa za mashirika ya habari ya kimataifa.

Related Articles

Back to top button