Habari
Una mtazamo gani kuhusu mapokezi ya Tundu Lissu

Picha mbalimbali mapokezi ya Mwenyekiti Mpya wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu nyumbani kwao Ikungi, Singida.
Makundi mbalimbali ya wanachadema walisafiri kumsindikiza Lissu nyumbani leo kutoka Dodoma, Morogoro, Mwanza, Mara na Mbeya.