HabariMichezo

Usajili ruksa julai 1 Tanzania

Taarifa iliyotolewa asubuhi ya leo na TFF ni kwamba Dirisha la usajili kwa klabu za Ligi Kuu ya NBC, Championship, First League na Ligi Kuu ya Wanawake Msimu wa 2022/2023 litafunguliwa Julai 1, 2022 na kufungwa Agosti 31, 2022.

Taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Afisa Habari na Mawasiliano, Cliford Ndimbo imeeleza kuwa katika kipindi hicho, klabu zinatakiwa kukamilisha usajili na uhamisho wa kimataifa.

Related Articles

Back to top button