HabariMichezo

Usiwaze Endapo hauna Intaneti beti Bila Bando na Meridianbet-USSD!

Usijali endapo hauna Intaneti Piga *149*10# BURE!

Ushindi unaendelea ukibeti na Meridianbet USSD Piga *149*10# BURE kutengeneza mkeka wako usipokuwa naIntaneti mahali popote Tanzania. Nafasi nyingine yakuendelea kufurahia odds nono za soka kiganjani mwako.

Jinsi ya Kujiunga na Meridianbet USSD!

Ni rahisi sana kujiunga na huduma hii ya USSD, cha kufanya ni kuwa na simu yako ya mkononi, haichaguiaina ya simu ukiwa na kitochi inakubali na hata ukiwa nasimu janja msisimko unaupata kama kawaida.

Kitu cha pili ni kupiga *149*10# kisha utachagua lugha, Kiingereza au Kiswahili, ukishachagua utaonaumeletewa vigezo na masharti ya kukubali kubashiri ikiwa una zaidi ya miaka 18+ hairuhusiwi kubashiri ukiwa na chini ya miaka 18.

Baada ya hapo utabonyeza 90 kuendelea kwenye hatuainayofuata ambapo itakuletea machaguo ya mechi zilizopo zikiwa na odds kubwa nono kama unataka kujuamechi za masaa 24 zijazo, au mechi kubwa kwenye soka, au kama unataka kumtumia rafiki yako mualiko, kuangalia tiketi zako 5 za mwisho na kuangalia salio la akaunti yako kwenye waleti yako.

Tengeneza Mkeka wa Ushindi na Meridianbet USSD!

 

Ukimaliza kujiunga kazi inayobaki ni wewe kuoneshaumwamba wako wa kubashiri na kitochi huku ukijipatiaodds kubwa za soka

katika kila mechi unayoichagua na kuiweka kwenyemkeka wako.

Wakati huu ushabonyeza code ya ushindi ambayo ni*149*10# sasa utakupeleka kwenye uwanja wa kuoneshaufundi wako wa kubeti, na uwanja huo una machaguo yafuatayo:

1. Mechi za saa24 zijazo.

2. Top Football ikiwa ni mechi kubwa siku husika.

3. Kumtumia rafiki yako mualiko wa kujiunga na familiaya mabingwa Meridianbet.

4. Unaweza kuangalia tiketi zako 5 za mwisho

5. Ni kujua akaunti yako ina kiasi gani.

Njia rahisi ya kubashiri na kitochi (USSD)

Usisahau kwamba odds kubwa za soka unazipataMeridianbet hata ukiwa hauna bando la internet au ukiwa na kitochi.

Unaweza kuweka mkeka wako kwa kubonyeza namba moja ambayo inaonesha mechi za saa 24 zijazo na hapoutazikuta mechi kibao, utachagua timu na mechi unazozitaka wewe kila mechi na timu ina machaguo yakeyenye odds kubwa na nono.

Ukimaliza unabonyeza 91 kuweka ubashiri au kamaunahitaji kuongeza mechi zaidi utabonyeza 92.

Ukibonyeza 91 kuweka ubashiri wako utawekakiwango/dau unalotaka kuweka kwenye beti yako kishautathibitisha malipo na hapo utakuwa umefikia mwisho unasubiri mkeka wako ucheke.

Lakini pia kama umekosea ubashiri wako Meridianbetwanakupata nafasi ya kurudia ikiwa hujaweka dau nakuthibitisha malipo. dau la chini kabisa unalowezakubeti ni TZS 250/= Ushindi upo kiganjani mwako fanyamaamuzi sasa, Meridianbet ndio habari ya mjini hawanaubabaishaji.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents