BurudaniMitindo

Utacheka,,Waalimu wa Kiume Wavalishwa Sketi na kucheza (Video)

Shule Wasichana ya Nkuene kaunti ya Meru iliandaa shindano maridadi la urembo, hafla inayopendwa zaidi na shule nyingi za upili Kenya baada ya mitihani ya mwisho wa muhula.

Katika hali ya kipekee, walimu wa kiume na wa kike walivalia sare za shule na kutembea kwa madaha wakiwachangamsha wanafunzi Walimu walionyesha ustadi wao wa uigaji na kusakata kwa muziki wa kusisimua, na kujenga mazingira ya furaha na juhudi.

Hata hivyo, tofauti na wanafunzi wa kawaida wa mitindo, walimu walivalia sare za shule walipoonyesha mitindo yao, kama ilivyorekodiwa kwenye video.

Je hii inaweza kutokea Tanzania kama sehemu ya kuunganisha Waalimu pamoja na Wanafunzi??,

Je ni nini kikubwa unakikumbuka kipindi upo shule na hautokuja kukisahau??

 

cc:TukoNews

Imeandikwa na kuandaliwa na @Johnbosco_mbanga

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents