Utajiri wa Mark Zuckerberg yaporomoko kwa wastani wa USD 5.9 bil – 7bil kisa Facebook, Instagram na Whatsapp

Huduma za mitandao ya kijamii Facebook, WhatsApp na Instagram zimerudishwa baada ya kukatika kwa karibu masaa sita, Facebook imesema.

Huduma zote tatu zinamilikiwa na Facebook na hazikuweza kupatikana kwenye wavuti au kwenye programu za simu za mkononi.kitendo hicho kilipelekea Utajiri wa Mwanzilishi wa Facebook, Mark Zuckerberg kuporomoko kwa wastani wa USD 5.9bil – 7bil kwa masaa sita ambayo mitandao hiyo ilipata tatizo la kimtandao, baada ya taarifa hiyo  orodha ya Matajiri Duniani Mark Zuckerberg amefikia utajiri wa USD 116. 8bil kwa mujibu wa Forbes na kuwa tajiri wa 6.

Related Articles

Back to top button