UTEUZI: Dkt. Ashatu Kijaji ateuliwa kuwa Waziri wa Habari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Ashatu Kachwamba Kijaji (Mb), kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Dkt. Kijaji anachukua nafasi ya Dkt. Faustine E. Ndugulile (Mb), ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Related Articles

Back to top button