MichezoVideos

Uwanja wa Mkapa ulijengwa kwaajili ya Simba SC- Ahmed Ally (+Video)

Meneja wa Mawasiliano wa Klabu ya Simba ametamba kuwa dimba la Benjamin Mkapa lilijengwa kwaajili ya Mnyama Historia ndivyo inavyosema hivyo kuujaza ni jambo la kawaida na kuondoka na matokeo katika michuano ya Kimataifa kwao ni jambo ambalo wamelizoea.

”Kwenye Fainali ya mwaka 1993, mashabiki wa Simba SC walikuwa wengi mpaka wengine wakabaki ikamlazimu Rais Benjamin Mkapa kutengeneza uwanja mkubwa utakao weza kuingiza mashabiki wengi wa ambapo chanzo chake kilikuwa ni mashabiki wa Simba SC.”- Ahmed Ally

Kuangalia video bofya HAPA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents