Habari

Uwanja wa mpira wa miguu Arusha kudumu miaka 130

 

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma amesema kuwa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha utakapokamilika utakuwa na uwezo wa kudumu miaka 130 huku ukiwa unafanyiwa marekebisho kila baada ya miaka 10.

Mwinjuma ameyasema hayo wakati wa ziara ya kamati ya kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo walipotembelea mradi wa uwanja huo kwa ajili ya kujionea maendeleo yake.

Mwinjuma ameongeza kuwa mradi huo umefikia asilimia 33 na utakuwa na uwezo wa kuchukua watu 32,000 utakapokamilika ifikapo Juni 2026.

Written by Janeth Jovin

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents