Uncategorized

Uzinduzi wa EP ya FOA:Sho Madjozi alivyomkumbusha Diamond wimbo, Mbagala

Muimbaji @shomadjozi ni mmoja kati ya wasanii wa nje ya nchi ambao wamehudhuria uzinduzi wa EP ya @daimondplatiinumz FOA.

Msouth huyo alipewa nafasi yakuutambulisha wimbo mpya wa Diamond ‘Fresh’ ambao ni wa Amapiano.

Sho Madjozi alisema yeye aliishi Tanzania wakati Diamond anafanya vizuri na wimbo ‘Mbagala’.

“Tatizo kwetu Mbagala, Tatizo kwetu Mbagala hivi ulikuwa una maanisha nini?” alisema Sho Madjozi wakati anautambulisha wimbo wa Diamond, Fresh.

Burudani zimeendelea hapa SlipWay katika uzinduzi wa EP ya FOA ya @diamondplatnumz .

Mpaka sasa tayari nyimbo 10 zimeshasikilizwa.

1. Melody,

2. Loyal

3. Nawaza

4. Fine

5. Sona

6. OKA

7. SomeBody

8. Wonder

9. Watasubiri

10. Fresh

Akiuzungumzia wimbo huo, Diamond alisema “Huu wimbo unaitwa Oka nimemshirikisha Mbosso hapa nataka kuona viuno tu” #FOAEP #FirstOfAllEP

Written and edited by @yasiningitu

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents