Vanessa Mdee akanusha taarifa za kuwa amejifungua (+ Video)

Baada ya taarifa kusambaa kuwa msanii wa Bongo Fleva @vanessamdee amepata mtoto kutokana na kuwa na ujauzito Kupitia ukurasa wake wa Instagram @vanessamdee amekanusha na kusema muache kupanikisha watu kuwa amejifungua na kuwauliza kuwa aliyewaambia kuwa yeye amejifungua ni nani..?

Related Articles

Back to top button